MCHANGANUO WA MALIPO – KIDATO CHA TANO 2026/2027

1. Mchepuo wa Biashara na Sanaa

EGM, HKL, HGE, HGL, HGK na EBuAc

MalipoKwa MwakaMuhula wa Kwanza Jul–Des 2026Muhula wa Pili Jan–Jun 2027
AdaTSh 5,000,000TSh 2,500,000TSh 2,500,000
MatibabuTSh 100,000TSh 50,000TSh 50,000
JumlaTSh 5,100,000TSh 2,550,000TSh 2,550,000

2. Mchepuo wa Sayansi

PCB, PCM, PMC, PGM na CBG

MalipoKwa MwakaMuhula wa Kwanza Jul–Des 2026Muhula wa Pili Jan–Jun 2027
AdaTSh 5,500,000TSh 2,750,000TSh 2,750,000
MatibabuTSh 100,000TSh 50,000TSh 50,000
MaabaraTSh 200,000TSh 100,000TSh 100,000
JumlaTSh 5,800,000TSh 2,900,000TSh 2,900,000

MALIPO YA MWANAFUNZI MPYA

Kwa mwanafunzi anayejiunga kwa mara ya kwanza na shule yetu kwa Kidato cha Tano au cha Sita, atalipa ada kulingana na mchepuo anaousoma pamoja na malipo mengine yafuatayo:

KipengeleKiasi
Usajili (Admission Fee) – hulipwa mara mojaTSh 200,000
Kitambulisho (Identity Card)TSh 10,000
Rimu moja ya karatasi kwa kila muhulaTSh 17,000
Uniform zoteTSh 410,000

UNIFORM ZA SHULE

Aina ya UniformGharama
Suruali/Sketi – jozi 3TSh 75,000
Mashati – 3TSh 75,000
Soksi – jozi 2TSh 20,000
Tai – 1TSh 10,000
Nguo za michezoTSh 70,000
Nguo za kushindia – jozi 2TSh 100,000
Masweta ya shule – jozi 2TSh 60,000
JumlaTSh 410,000

NAMNA YA MALIPO

Ada na malipo mengine yote yanapaswa kulipwa kupitia benki kwa kutumia akaunti ya KAIZIREGE BOARDING HIGH SCHOOL:

BenkiNamba ya Akaunti
NMB31806600311
CRDB BANK0150225212600
NBC027103003733
TANZANIA COMMERCIAL BANK230207000005

Muhimu: Hakikisha unaandika jina la mwanafunzi kwenye Bank Pay-in Slip na kuileta shuleni ili upatiwe risiti.